Ezekiel 21:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu likanijia, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA likanijia, kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana likanijia, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likanijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli kwamba: Yawe anasema hivi: Mimi mwenyewe ninakuja kupambana nanyi. Nitauchomoa upanga wangu ndani ya mufuko wake na kuwaua watu wema na wabaya.