Ezekiel 22:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwako wamo watu ambao hulala na wake za baba zao. Huwanajisi wanawake katika siku zao za hedhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yako wako wale wanaovunjia heshima vitanda vya baba zao, ndani yako wamo wale wanaowatendea wanawake jeuri wakiwa katika hedhi, wakati wakiwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndani yako wamefunua uchi wa baba zao; ndani yako wamemfanyia nguvu mwanamke asiye safi wakati wa kutengwa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwako wamo watu ambao hulala na wake za baba zao. Huwanajisi wanawake katika siku zao za hedhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yako wako wale wanaovunjia heshima vitanda vya baba zao, ndani yako wamo wale wanaowatendea wanawake jeuri wakiwa katika hedhi, wakati wakiwa si safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yako wako wale wanaovunjia heshima vitanda vya baba zao, ndani yako wamo wale wanaowatendea wanawake jeuri wakiwa katika hedhi, wakati wakiwa si safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndani yako wamefunua uchi wa baba zao; ndani yako wamemfanyia nguvu mwanamke asiye safi wakati wa kutengwa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwako wamo watu ambao hulala na wake za baba zao. Huwanajisi wanawake katika siku zao za hedhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yenye soni ya baba watu huyafunua mwako, mwako huwatumia kwa nguvu nao wanawake wenye uchafu kwa kuwa na siku zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndani yako wamefunua uchi wa baba zao; ndani yako wamemfanyia nguvu mwanamke asiye safi wakati wa kutengwa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwako kuna watu ambao wanalala na wake wa baba zao. Wanalala kwa kinguvu na wanawake katika siku zao za ugonjwa wa mwezi.