Ezekiel 22:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine hufanya machukizo kwa kulala na wake za majirani zao. Wengine hulala na wake za watoto wao, na wengine hulala na dada zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yako mtu hufanya mambo ya machukizo na mke wa jirani yake, mwingine kwa aibu kubwa hukutana kimwili na mke wa mwanawe, mwingine humtenda jeuri dada yake, binti ya baba yake hasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu umbu lake, binti ya babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine hufanya machukizo kwa kulala na wake za majirani zao. Wengine hulala na wake za watoto wao, na wengine hulala na dada zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yako mtu hufanya mambo ya machukizo na mke wa jirani yake, mwingine kwa aibu kubwa hukutana kimwili na mke wa mwanawe, mwingine humtenda jeuri dada yake, binti wa baba yake hasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yako mtu hufanya mambo ya machukizo na mke wa jirani yake, mwingine kwa aibu kubwa hukutana kimwili na mke wa mwanawe, mwingine humtenda jeuri dada yake, binti wa baba yake hasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu dada yake, binti ya babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine hufanya machukizo kwa kulala na wake za majirani zao. Wengine hulala na wake za watoto wao, na wengine hulala na dada zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wanowafanyizia wake wa wenzao yachukizayo, tena wako wanojichafua kwa kuwatumia wakwe wao wa kike kufanya uzinzi nao, tena wako wanaowatumia kwa nguvu nao maumbu zao waliozaliwa na baba yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu umbu lake, binti ya babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengine wanafanya machukizo kwa kulala na wake za jirani zao. Wengine wanalala na wake za watoto wao, na wengine wanalala na wadada zao.