Ezekiel 22:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimekunja ngumi yangu dhidi yako kwa sababu ya hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo halali na kwa mauaji yaliyofanyika kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, tazama, nimeipigia kofi hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo haki, na hiyo damu yako iliyokuwa kati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimekunja ngumi yangu dhidi yako kwa sababu ya hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo halali na kwa mauaji yaliyofanyika kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, tazama, nimeipigia kofi hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo haki, na hiyo damu yako iliyokuwa kati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimekunja ngumi yangu dhidi yako kwa sababu ya hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo halali na kwa mauaji yaliyofanyika kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utaniona, nikiyapiga makofi yangu kwa ajili ya mali zako, ulizojipatia kwa udanganyifu, na kwa ajili ya damu zako zilizomwagwa mwako mjini katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, tazama, nimeipigia kofi hiyo faida uliyopata kwa njia isiyo haki, na hiyo damu yako iliyokuwa kati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekunja ngumi yangu juu yako kwa sababu ya hiyo faida uliyopata kwa njia isiyokuwa ya haki na kwa mauaji yaliyofanyika kwako.