Ezekiel 22:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, utaweza kustahimili kuwa hodari siku nitakapopambana nawe? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema na nitayatekeleza hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ujasiri wako utadumu au mikono yako itakuwa na nguvu siku hiyo nitakapokuadhibu? Mimi Mwenyezi Mungu nimesema na nitalifanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Moyo wako waweza kuvumilia, au mkono wako waweza kuwa hodari, katika siku zile nitakapokutenda mambo? Mimi, Bwana, nimenena neno hili, tena nitalitenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, utaweza kustahimili kuwa hodari siku nitakapopambana nawe? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema na nitayatekeleza hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ujasiri wako utadumu au mikono yako itakuwa na nguvu siku hiyo nitakapokushughulikia? Mimi BWANA nimesema na nitalifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ujasiri wako utadumu au mikono yako itakuwa na nguvu siku hiyo nitakapokushughulikia? Mimi bwana nimesema na nitalifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Moyo wako waweza kuvumilia, au mkono wako waweza kuwa hodari, katika siku zile nitakapokutenda mambo? Mimi, BWANA, nimenena neno hili, tena nitalitenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, utaweza kustahimili kuwa hodari siku nitakapopambana nawe? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema na nitayatekeleza hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Moyo wako utasimama? Je? Mikono yako itakuwa na nguvu zao siku zile, nitakapokufanyizia mambo? Mimi Bwana nimeyasema, nami nitayafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Moyo wako waweza kuvumilia, au mkono wako waweza kuwa hodari, katika siku zile nitakapokutenda mambo? Mimi, BWANA, nimenena neno hili, tena nitalitenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaweza kuvumilia kuwa hodari siku nitakapokushambulia? Ni mimi Yawe ninayesema hivyo na nitakayetimiza hayo.