Ezekiel 22:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe ni mji unaowaua watu wako mwenyewe na kujitia unajisi kwa kufanya sanamu za miungu; kwa hiyo wakati wako wa adhabu umewadia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uuambie: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Ee mji unaojiletea maangamizi wenyewe kwa kumwaga damu ndani yake na kujinajisi wenyewe kwa kutengeneza sanamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utasema, Bwana MUNGU asema hivi; Mji umwagao damu ndani yake, ili wakati wake upate kuja; mji ufanyao vinyago juu ya nafsi yake, ili ujitie unajisi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe ni mji unaowaua watu wako mwenyewe na kujitia unajisi kwa kufanya sanamu za miungu; kwa hiyo wakati wako wa adhabu umewadia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uuambie: ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ee mji ule ujileteao maangamizi wenyewe kwa kumwaga damu ndani yake na kujinajisi wenyewe kwa kutengeneza sanamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uuambie: ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Ee mji ule ujileteao maangamizi wenyewe kwa kumwaga damu ndani yake na kujinajisi wenyewe kwa kutengeneza sanamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utasema, Bwana MUNGU asema hivi; Mji umwagao damu ndani yake, ili wakati wake upate kuja; mji ufanyao vinyago juu ya nafsi yake, ili ujitie unajisi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe ni mji unaowaua watu wako mwenyewe na kujitia unajisi kwa kufanya sanamu za miungu; kwa hiyo wakati wako wa adhabu umewadia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Wewe ndiwe mji uliomwaga mwake damu za watu, siku zake zitimie, ukafanya magogo ya kutambikia, ukajipatia uchafu nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utasema, Bwana MUNGU asema hivi; Mji umwagao damu ndani yake, ili wakati wake upate kuja; mji ufanyao vinyago juu ya nafsi yake, ili ujitie unajisi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uuambie kwamba: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Wewe ni muji unaowaua watu wako mwenyewe na kujichafua kwa kufanya sanamu za miungu; kwa hiyo wakati wako wa azabu umetimia.