Ezekiel 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwako baba na mama wanadharauliwa. Mgeni anayekaa kwako anapokonywa mali yake. Yatima na wajane wanaonewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yako wamewadharau baba na mama; ndani yako wamewatendea wageni udhalimu, na kuwadhulumu yatima na wajane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndani yako wamedharau baba na mama; kati yako wamewatenda wageni udhalimu; ndani yako wamewaonea yatima na mjane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwako baba na mama wanadharauliwa. Mgeni anayekaa kwako anapokonywa mali yake. Yatima na wajane wanaonewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yako wamewadharau baba na mama, ndani yako wamewatendea wageni udhalimu na kuwaonea yatima na wajane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yako wamewadharau baba na mama, ndani yako wamewatendea wageni udhalimu na kuwaonea yatima na wajane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndani yako wamedharau baba na mama; kati yako wamewatenda wageni udhalimu; ndani yako wamewaonea yatima na mjane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwako baba na mama wanadharauliwa. Mgeni anayekaa kwako anapokonywa mali yake. Yatima na wajane wanaonewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwako watu hawachi wala baba wala mama, nao wageni huwafanyia ukorofi mwako, wafiwao na wazazi nao wajane watu huwatesa mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndani yako wamedharau baba na mama; kati yako wamewatenda wageni udhalimu; ndani yako wamewaonea yatima na mjane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwako baba na mama wanazarauliwa. Mugeni anayekaa kwako ananyanganywa mali yake. Wayatima na wajane wanaonewa.