Ezekiel 23:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao walimvua mavazi yake na kumwacha uchi. Waliwakamata watoto wake, naye mwenyewe wakamuua kwa upanga. Adhabu hiyo aliyopata ikawa fundisho kwa wanawake wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamvua nguo zake wakamwacha uchi, wakawachukua wanawe wa kiume na wa kike, naye wakamuua kwa upanga. Akawa kitu cha kudharauliwa miongoni mwa wanawake, na adhabu ikatolewa dhidi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa wakaufunua uchi wake, wakatwaa wanawe na binti zake, wakamwua yeye kwa upanga; akawa jina la aibu kati ya wanawake; kwa maana walitoa hukumu juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao walimvua mavazi yake na kumwacha uchi. Waliwakamata watoto wake, naye mwenyewe wakamuua kwa upanga. Adhabu hiyo aliyopata ikawa fundisho kwa wanawake wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamvua nguo zake wakamwacha uchi, wakawachukuwa wanawe na binti zake, naye wakamwua kwa upanga. Akawa kitu cha kudharauliwa miongoni mwa wanawake na adhabu ikatolewa dhidi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamvua nguo zake wakamwacha uchi, wakawachukua wanawe na binti zake, naye wakamuua kwa upanga. Akawa kitu cha kudharauliwa miongoni mwa wanawake na adhabu ikatolewa dhidi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa wakaufunua uchi wake, wakatwaa wanawe na binti zake, wakamwua yeye kwa upanga; akawa jina la aibu kati ya wanawake; kwa maana walitoa hukumu juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao walimvua mavazi yake na kumwacha uchi. Waliwakamata watoto wake, naye mwenyewe wakamuua kwa upanga. Adhabu hiyo aliyopata ikawa fundisho kwa wanawake wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliyafunua yake yenye soni, wakawachukua wanawe wa kiume nao wa kike, naye mwenyewe wakamwua kwa upanga. Kisha jina lake likatumiwa kwa wanawake kuwa tisho, alipokuwa amekwisha kuhukumiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa wakaufunua uchi wake, wakatwaa wanawe na binti zake, wakamwua yeye kwa upanga; akawa jina la aibu kati ya wanawake; kwa maana walitoa hukumu juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao walimuvua nguo zake na kumwacha uchi. Waliwakamata watoto wake, naye mwenyewe wakamwua kwa upanga. Azabu hiyo aliyopata ikakuwa fundisho kwa wanawake wengine.