Ezekiel 23:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Oholiba dada yake, aliona jambo hilo, lakini akawa amepotoka kuliko yeye katika tamaa yake na uzinzi wake uliokuwa mbaya kuliko wa dada yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Oholiba dada yake aliliona jambo hili, lakini kwa tamaa zake na ukahaba wake, akaharibu tabia zake kuliko Ohola, dada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na umbu lake, Oholiba, akayaona hayo walakini alizidi kuharibika kuliko yeye, kwa kupendelea kwake, na kwa uzinzi wake, uliokuwa mwingi kuliko uzinzi wa umbu lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Oholiba dada yake, aliona jambo hilo, lakini akawa amepotoka kuliko yeye katika tamaa yake na uzinzi wake uliokuwa mbaya kuliko wa dada yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Oholiba dada yake aliliona jambo hili, lakini kwa tamaa zake na ukahaba wake, akaharibu tabia zake kuliko Ohola dada yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Oholiba dada yake aliliona jambo hili, lakini kwa tamaa zake na ukahaba wake, akaharibu tabia zake kuliko Ohola dada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na dada yake, Oholiba, akayaona hayo lakini alizidi kuharibika kuliko yeye, kwa kupendelea kwake, na kwa uzinzi wake, uliokuwa mwingi kuliko uzinzi wa dada yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Oholiba dada yake, aliona jambo hilo, lakini akawa amepotoka kuliko yeye katika tamaa yake na uzinzi wake uliokuwa mbaya kuliko wa dada yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo nduguye Oholiba alikuwa ameyaona, akauzidisha ubaya wa tamaa zake kuliko yule, nao ugoni wake ukazidi kuliko ugoni wake yule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na umbu lake, Oholiba, akayaona hayo walakini alizidi kuharibika kuliko yeye, kwa kupendelea kwake, na kwa uzinzi wake, uliokuwa mwingi kuliko uzinzi wa umbu lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dada yake Oholiba aliona jambo hilo, lakini akazidi kupotoka kuliko yeye katika tamaa yake, na uzinzi wake ulikuwa mubaya kuliko wa dada yake.