Ezekiel 23:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwatamani sana Waashuru: Wakuu wa mikoa, makamanda, wanajeshi waliovaa sare zao za kijeshi, wapandafarasi hodari, wote wakiwa vijana wa kuvutia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliwapendelea Waashuri, maliwali na mawaziri, jirani zake, waliovikwa nguo za shani, wapanda farasi wakipanda farasi zao, wote pia vijana wa kutamanika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwatamani sana Waashuru: wakuu wa mikoa, makamanda, wanajeshi waliovaa sare zao za kijeshi, wapandafarasi hodari, wote wakiwa vijana wa kuvutia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliwapendelea Waashuri, watawala na mawaziri, jirani zake, waliovikwa nguo za shani, wapanda farasi wakipanda farasi wao, wote pia vijana wa kutamanika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwatamani sana Waashuru: Wakuu wa mikoa, makamanda, wanajeshi waliovaa sare zao za kijeshi, wapandafarasi hodari, wote wakiwa vijana wa kuvutia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatamani wana wa Asuri, watawala nchi na wakuu wakamkaribia wakiwa wamevaa nguo za urembo kabisa, nao wakaja wakichukuliwa na farasi, hao farasi ndio waliopandwa nao, wao wote walikuwa vijana wa kutamaniwa kwa kupendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliwapendelea Waashuri, maliwali na mawaziri, jirani zake, waliovikwa nguo za shani, wapanda farasi wakipanda farasi zao, wote pia vijana wa kutamanika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwatamani sana Waasuria: maliwali, waamuzi, waaskari waliovaa nguo zao za kiaskari, waaskari wapanda-farasi hodari, wote wakiwa vijana wa kuvutia.