Ezekiel 23:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaona ya kuwa ametiwa unajisi; wote wawili walifuata njia moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaona ya kuwa ametiwa unajisi; wote wawili walifuata njia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikamwona, alivyochafuliwa. Hao wawili njia yao ilikuwa moja tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaona ya kuwa ametiwa unajisi; wote wawili walifuata njia moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimutambua kuwa muchafu. Kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja.