Ezekiel 23:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mikanda viunoni, vilemba vikubwa vichwani; hizo zote zilifanana na maofisa, naam, picha ya Wababuloni, wakazi wa nchi ya Wakaldayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
waliofungiwa mikumbuu viunoni mwao, na vilemba vilivyotiwa rangi vichwani mwao; wote wakuu wa kuangaliwa, kwa mfano wa wana wa Babeli katika Ukaldayo, katika nchi ya kuzaliwa kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mikanda viunoni, vilemba vikubwa vichwani; hizo zote zilifanana na maofisa, naam, picha ya Wababuloni, wakazi wa nchi ya Wakaldayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Kikaldayo wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
waliofungiwa mikumbuu viunoni mwao, na vilemba vilivyotiwa rangi vichwani mwao; wote wakuu wa kuangaliwa, kwa mfano wa wana wa Babeli katika Ukaldayo, katika nchi ya kuzaliwa kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mikanda viunoni, vilemba vikubwa vichwani; hizo zote zilifanana na maofisa, naam, picha ya Wababuloni, wakazi wa nchi ya Wakaldayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamejifunga ukanda viunoni pao, vichwani pao walikuwa wamejifunga vilemba vya nguo za rangi vipana sana, sura zao wote walionekana kuwa wapanda magari ya vita, walifanana nao wana wa Babeli; ndiko, hao wakasidi walikozaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
waliofungiwa mikumbuu viunoni mwao, na vilemba vilivyotiwa rangi vichwani mwao; wote wakuu wa kuangaliwa, kwa mfano wa wana wa Babeli katika Ukaldayo, katika nchi ya kuzaliwa kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mikaba katika viuno, vitambaa vikubwa juu ya vichwa; hizo zote zilifanana na wakubwa. Ni picha ya Wababeli, wakaaji wa inchi ya Kaldea.