Ezekiel 23:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mara alipowaona aliwapendelea, akatuma wajumbe kwao hata Ukaldayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara tu alipowaona, aliwatamani akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mara alipowaona aliwapendelea, akatuma wajumbe kwao hata Ukaldayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatamani alipowaona kwa macho yake, akatuma wajumbe kwenda kwao katika nchi ya wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mara alipowaona aliwapendelea, akatuma wajumbe kwao hata Ukaldayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipoziona picha hizo, mara moja akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Kaldea.