Ezekiel 23:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Wababuloni wakaja kulala naye. Wakamtia najisi kwa tamaa zao. Alipokwisha tiwa najisi, akajitenga nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo hao Wababeli wakaja kwake kwenye kitanda cha mapenzi, nao katika tamaa zao wakamtia unajisi. Baada ya kutiwa unajisi, akawaacha kwa kuwachukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wa Babeli wakamwendea katika kitanda cha mapenzi, wakamtia unajisi kwa uzinzi wao, akatiwa unajisi nao, kisha roho yake ikafarakana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Wababuloni wakaja kulala naye. Wakamtia najisi kwa tamaa zao. Alipokwisha tiwa najisi, akajitenga nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo hao Wakaldayo wakaja kwake, kwenye kitanda cha mapenzi, nao katika tamaa zao wakamtia unajisi. Baada ya kutiwa unajisi akawaacha kwa kuwachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo hao Wababeli wakaja kwake kwenye kitanda cha mapenzi, nao katika tamaa zao wakamtia unajisi. Baada ya kutiwa unajisi, akawaacha kwa kuwachukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wa Babeli wakamwendea katika kitanda cha mapenzi, wakamtia unajisi kwa uzinzi wao, akatiwa unajisi nao, kisha roho yake ikafarakana nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Wababuloni wakaja kulala naye. Wakamtia najisi kwa tamaa zao. Alipokwisha tiwa najisi, akajitenga nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wana wa Babeli walipokuja kwake kulala naye kwa kumpenda, wakamtia uchafu kwa ugoni wao; alipokwisha kujipatia uchafu kwao, roho yake ikajitenga nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wa Babeli wakamwendea katika kitanda cha mapenzi, wakamtia unajisi kwa uzinzi wao, akatiwa unajisi nao, kisha roho yake ikafarakana nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Wababeli wakamwendea katika kitanda cha mapenzi. Wakamuchafua kwa njia ya tamaa zao mbaya. Alipokwisha kujichafua, akajitenga nao.