Ezekiel 23:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipoendelea na uzinzi wake na kufunua uchi wake, mimi nilimwacha kama nilivyomwacha dada yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipofanya ukahaba wake waziwazi na kuonesha uchi wake, nilimwacha kwa kumchukia, kama vile nilivyokuwa nimemwacha dada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alifunua uzinzi wake, na kufunua uchi wake; ndipo roho yangu ikafarakana naye, kama ilivyofarakana na umbu lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipoendelea na uzinzi wake na kufunua uchi wake, mimi nilimwacha kama nilivyomwacha dada yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipofanya ukahaba wake waziwazi na kuonyesha hadharani uchi wake, nilimwacha kwa kuchukia, kama vile nilivyokuwa nimemwacha dada yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipofanya ukahaba wake waziwazi na kuonyesha hadharani uchi wake, nilimwacha kwa kumchukia, kama vile nilivyokuwa nimemwacha dada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipoendelea na ukahaba wake waziwazi, na kufunua uchi wake; ndipo roho yangu ikafarakana naye, kama ilivyofarakana na dada yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipoendelea na uzinzi wake na kufunua uchi wake, mimi nilimwacha kama nilivyomwacha dada yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoufunua ugoni wake na kuyafunua yake yenye soni, ndipo, roho yangu ilipojitenga naye, kama ilivyojitenga na dada yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alifunua uzinzi wake, na kufunua uchi wake; ndipo roho yangu ikafarakana naye, kama ilivyofarakana na umbu lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipoendelea na uzinzi wake na kufunua uchi wake, mimi nilimwacha kama nilivyomwacha dada yake.