Ezekiel 23:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, palikuwa na wanawake wawili, binti za mama mmoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, palikuwa na wanawake wawili, binti za mama mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, walikuwepo wanawake wawili, binti wa mama mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, walikuwepo wanawake wawili, binti wa mama mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, palikuwa na wanawake wawili, binti za mama mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, kulikuwako wanawake wawili waliozaliwa na mama yao mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, palikuwa na wanawake wawili, binti za mama mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu! Kulikuwa wabinti wawili, wote wa mama mumoja.