Ezekiel 23:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwatamani sana wanaume wenye tamaa mbaya kama ya punda na nguvu nyingi za uzazi kama farasi dume.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko aliwatamani wapenzi wake, ambao viungo vyao vya uzazi ni kama vya punda, na kile kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapendelea wapenzi wao, ambao nyama ya mwili wao ni kama nyama ya mwili wa punda, nacho kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwatamani sana wanaume wenye tamaa mbaya kama ya punda na nguvu nyingi za uzazi kama farasi dume.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko aliwatamani wapenzi wake, ambao viungo vyao vya uzazi ni kama vya punda na kile kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko aliwatamani wapenzi wake, ambao viungo vyao vya uzazi ni kama vya punda, na kile kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapendelea wapenzi wao, ambao nyama ya mwili wao ni kama nyama ya mwili wa punda, nacho kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwatamani sana wanaume wenye tamaa mbaya kama ya punda na nguvu nyingi za uzazi kama farasi dume.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatamani sana wazinzi wa huko walio wenye miili kama ya punda, nazo tamaa zao za kutokeza mbegu zilikuwa kama za madume ya farasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapendelea wapenzi wao, ambao nyama ya mwili wao ni kama nyama ya mwili wa punda, nacho kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwatamani sana wanaume wenye viungo kama viungo vya punda na wenye kuwaka tamaa kama farasi dume.