Ezekiel 23:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Oholiba aliutamani uchafu wake wa ujana alipokuwa Misri, ambako Wamisri walivunja ubikira wake, na kuyatomasa matiti yake machanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo ulitamani uasherati wa ujana wako wakati ulipokuwa Misri, kifua chako kilipokumbatiwa, na matiti yako machanga yakapapaswa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo ulivyokumbuka uasherati wa ujana wako, yalipobanwa matiti yako na Wamisri, kwa maziwa ya ujana wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Oholiba aliutamani uchafu wake wa ujana alipokuwa Misri, ambako Wamisri walivunja ubikira wake, na kuyatomasa matiti yake machanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo ulitamani uasherati wa ujana wako wakati ulipokuwa Misri kifua chako kilipokumbatiwa na walipokutomasa kwa sababu ya matiti yako machanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo ulitamani uasherati wa ujana wako wakati ulipokuwa Misri, kifua chako kilipokumbatiwa, na walipokutomasa kwa sababu ya matiti yako machanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo ulivyokumbuka uasherati wa ujana wako, yalipobanwa matiti yako na Wamisri, kwa maziwa ya ujana wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Oholiba aliutamani uchafu wake wa ujana alipokuwa Misri, ambako Wamisri walivunja ubikira wake, na kuyatomasa matiti yake machanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo uliutazamia uzinzi wa ujana wako, wale walioko Misri walipoyabanabana maziwa yako na kuvishikashika vifua vya uwanawali wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo ulivyokumbuka uasherati wa ujana wako, yalipobanwa matiti yako na Wamisri, kwa maziwa ya ujana wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Oholiba aliutamani uchafu wake wa ujana alipokuwa Misri, ambako Wamisri walivunja ubikira wake, na kuyapapasa maziba yake machanga.