Ezekiel 23:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa Oholiba! Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawafanya wapenzi wako uliowaacha kwa chuki wainuke dhidi yako; nitawaleta wakushambulie kutoka pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo, Oholiba, hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Nitawachochea wapenzi wako wawe kinyume na wewe, wale uliowaacha kwa kuchukia, nitawaleta dhidi yako kutoka kila upande:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo, Ewe Oholiba, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawainua wapenzi wako juu yako, ambao roho yako imefarakana nao, nami nitawaleta juu yako pande zote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa Oholiba! Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawafanya wapenzi wako uliowaacha kwa chuki wainuke dhidi yako; nitawaleta wakushambulie kutoka pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo, Oholiba, hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Nitawachochea wapenzi wako wawe kinyume na wewe, wale uliowaacha kwa kuchukia, nitawaleta dhidi yako kutoka kila upande,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo, Oholiba, hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Nitawachochea wapenzi wako wawe kinyume na wewe, wale uliowaacha kwa kuchukia, nitawaleta dhidi yako kutoka kila upande:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo, Ewe Oholiba, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawachochea wapenzi wako juu yako, hao ambao roho yako imefarakana nao, nami nitawaleta juu yako pande zote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa Oholiba! Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawafanya wapenzi wako uliowaacha kwa chuki wainuke dhidi yako; nitawaleta wakushambulie kutoka pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, Oholiba, hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Utaniona, nikiwaamsha wapenzi wako, wakujie, ambao roho yako ilijitenga nao. Nitawaleta, wakujie toka pande zote:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo, Ewe Oholiba, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawainua wapenzi wako juu yako, ambao roho yako imefarakana nao, nami nitawaleta juu yako pande zote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Oholiba, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Nitawasukuma wapenzi wako, wale uliochukizwa nao wakushambulie; nitawaleta wakushambulie kutoka pande zote.