Ezekiel 23:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakuvua mavazi yako na kukunyanganya johari zako nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakuvua nguo zako pia, na kuchukua mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito na dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia watakuvua nguo zako, na kukuondolea vyombo vyako vya uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakuvua mavazi yako na kukunyang'anya johari zako nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakuvua pia nguo zako na kuchukua mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito na dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakuvua pia nguo zako na kuchukua mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito na dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia watakuvua nguo zako, na kukunyang'anya johari zako uzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakuvua mavazi yako na kukunyanganya johari zako nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakuvua nguo zako wayachukue mapambo yako matukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia watakuvua nguo zako, na kukuondolea vyombo vyako vya uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakuvua nguo zako na kukunyanganya vitu vyako vizuri vya bei kali.