Ezekiel 23:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, kwa vile wanakuchukia, watakunyanganya matunda yote ya kazi yako na kukuacha uchi, bila nguo na kuonesha aibu ya uzinzi wako. Uzinzi wako na uasherati wako
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakutenda mambo ya chuki na kukunyang’anya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watakutenda mambo kwa chuki, watakuondolea kazi zako zote, watakuacha uchi, huna nguo na aibu ya mambo yako ya kikahaba itafunuliwa, uasherati wako na uzinzi wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, kwa vile wanakuchukia, watakunyang'anya matunda yote ya kazi yako na kukuacha uchi, bila nguo na kuonesha aibu ya uzinzi wako. Uzinzi wako na uasherati wako
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakushughulikia kwa chuki na kukunyang'anya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakushughulikia kwa chuki na kukunyang’anya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watakutenda mambo kwa chuki, watakunyang'anya matunda yote ya kazi yako, watakuacha uchi, huna nguo na aibu ya mambo yako ya kikahaba itafunuliwa, uasherati wako na uzinzi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, kwa vile wanakuchukia, watakunyanganya matunda yote ya kazi yako na kukuacha uchi, bila nguo na kuonesha aibu ya uzinzi wako. Uzinzi wako na uasherati wako
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakufanyizia mambo, wayatakayo kwa uchukivu wao, wakiyachukua mapato yako yote kisha watakuacha mwenye uchi pasipo nguo ya kujifunika; ndipo, utakapokuwa umefunuka ugoni wako utiao soni nao uzinzi wako ulio pamoja na ugoni wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watakutenda mambo kwa chuki, watakuondolea kazi zako zote, watakuacha uchi, huna nguo na aibu ya mambo yako ya kikahaba itafunuliwa, uasherati wako na uzinzi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa vile wanakuchukia, watakunyanganya matunda yote ya kazi yako na kukuacha uchi, bila nguo na kuonyesha haya ya uzinzi wako. Uzinzi wako na uasherati wako