Ezekiel 23:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa vijana tu, wakiwa wanakaa kule Misri, wakakubali matiti yao kutomaswa, wakapoteza ubikira wao, wakawa malaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawa makahaba huko Misri, wakajitia kwenye ukahaba tangu ujana wao. Katika nchi ile vifua vyao vya ubikira vikakumbatiwa, na wakapoteza ubikira wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao walizini huko Misri; walizini wakati wa ujana wao; huko vifua vyao vililemewa, na huko waliyabana matiti ya ubikira wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa vijana tu, wakiwa wanakaa kule Misri, wakakubali matiti yao kutomaswa, wakapoteza ubikira wao, wakawa malaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawa makahaba huko Misri, wakajitia kwenye ukahaba tangu ujana wao. Katika nchi ile vifua vyao vya ubikira vikakumbatiwa huko na wakapoteza ubikira wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawa makahaba huko Misri, wakajitia kwenye ukahaba tangu ujana wao. Katika nchi ile vifua vyao vya ubikira vikakumbatiwa huko na wakapoteza ubikira wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao walizini huko Misri; walizini wakati wa ujana wao; huko vifua vyao vilishikwashikwa, na matiti yao yakatomaswa wakapoteza ubikira wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa vijana tu, wakiwa wanakaa kule Misri, wakakubali matiti yao kutomaswa, wakapoteza ubikira wao, wakawa malaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafanya ugoni katika nchi ya Misri; wangaliko wasichana bado, walifanya ugoni. Huko wakapenda kushikwashikwa vifua vyao na kubanwabanwa maziwa ya uwanawali wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao walizini huko Misri; walizini wakati wa ujana wao; huko vifua vyao vililemewa, na huko waliyabana matiti ya ubikira wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika ujana wao walipokuwa wanakaa kule Misri, wakakubali maziba yao kupapaswa, wakapoteza ubikira wao, wakafanya uzinzi.