Ezekiel 23:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ndivyo vilivyokuletea hali hiyo. Wewe ulizini na mataifa, ukajitia najisi kwa miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
umekuletea haya yote, kwa sababu ulitamani mataifa na kujinajisi kwa sanamu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utatendwa mambo hayo kwa sababu umezini na hao wasioamini, na kwa sababu umetiwa unajisi kwa vinyago vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ndivyo vilivyokuletea hali hiyo. Wewe ulizini na mataifa, ukajitia najisi kwa miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
umekuletea haya yote, kwa sababu ulitamani mataifa na kujinajisi kwa sanamu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
umekuletea haya yote, kwa sababu ulitamani mataifa na kujinajisi kwa sanamu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utatendwa mambo hayo kwa sababu umezini na hao wasioamini, na kwa sababu umetiwa unajisi kwa vinyago vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ndivyo vilivyokuletea hali hiyo. Wewe ulizini na mataifa, ukajitia najisi kwa miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakufanyizia hayo, kwa kuwa uliwakimbilia wamizimu, ufanye ugoni nao, tena kwa kuwa ulijipatia uchafu kwa magogo yao ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utatendwa mambo hayo kwa sababu umezini na hao wasioamini, na kwa sababu umetiwa unajisi kwa vinyago vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ndivyo vilivyokuletea hali hiyo. Wewe ulizini na mataifa, ukajichafua kwa kuabudu miungu yao.