Ezekiel 23:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa ulifuata nyayo za dada yako, basi, mimi nitakupa kikombe kilekile cha adhabu ukinywe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umekwenda katika njia ya umbu lako; basi nitatia kikombe chake katika mkono wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa ulifuata nyayo za dada yako, basi, mimi nitakupa kikombe kilekile cha adhabu ukinywe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umekwenda katika njia ya dada yako; basi nitatia kikombe chake katika mkono wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa ulifuata nyayo za dada yako, basi, mimi nitakupa kikombe kilekile cha adhabu ukinywe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
umeishika njia ya dada yako, kwa hiyo ninakupa kinyweo chake mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umekwenda katika njia ya umbu lako; basi nitatia kikombe chake katika mkono wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ulifuata njia ya dada yako, basi, mimi nitakupa kikombe kilekile cha azabu ukikunywe.