Ezekiel 23:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitakulewesha na kukuhuzunisha sana. Kikombe cha dada yako Samaria, ni kikombe cha hofu na maangamizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utalewa ulevi na kujawa huzuni, kikombe cha maangamizi na ukiwa, kikombe cha dada yako Samaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utajazwa ulevi na sikitiko, kwa kikombe cha ushangao na ukiwa, kikombe cha umbu lako Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitakulewesha na kukuhuzunisha sana. Kikombe cha dada yako Samaria, ni kikombe cha hofu na maangamizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utalewa ulevi na kujawa huzuni, kikombe cha maangamizo na ukiwa, kikombe cha dada yako Samaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utalewa ulevi na kujawa huzuni, kikombe cha maangamizo na ukiwa, kikombe cha dada yako Samaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utajazwa ulevi na sikitiko, kwa kikombe cha ushangao na ukiwa, kikombe cha dada yako Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitakulewesha na kukuhuzunisha sana. Kikombe cha dada yako Samaria, ni kikombe cha hofu na maangamizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapolewa kabisa na kuona majonzi mengi, kwani hicho kinyweo cha dada yako Samaria ni kinyweo chenye mastusho na ukiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utajazwa ulevi na sikitiko, kwa kikombe cha ushangao na ukiwa, kikombe cha umbu lako Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitakulewesha na kukuhuzunikisha sana. Kikombe cha dada yako Samaria, ni kikombe cha hofu na maangamizi.