Ezekiel 23:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakinywa na kukimaliza kabisa; utakipasua vipandevipande kwa meno, na kurarua navyo matiti yako. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakinywa chote na kukimaliza; utakivunja vipande vipande na kuyararua matiti yako. Nimenena haya, asema Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, utakinywea hata hakitabaki kitu ndani yake, utavitafuna vigae vyake, utayararua maziwa yako; maana mimi, Bwana MUNGU, nimenena neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakinywa na kukimaliza kabisa; utakipasua vipandevipande kwa meno, na kurarua navyo matiti yako. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakinywa chote na kukimaliza; utakivunja vipande vipande na kuyararua matiti yako. Nimenena haya, asema BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakinywa chote na kukimaliza; utakivunja vipande vipande na kuyararua matiti yako. Nimenena haya, asema bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, utakinywea hata hakitabaki kitu ndani yake, utavitafuna vigae vyake, utayararua matiti yako; maana mimi, Bwana MUNGU, nimenena neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakinywa na kukimaliza kabisa; utakipasua vipandevipande kwa meno, na kurarua navyo matiti yako. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakinywa, mpaka ukimalize kwa kufyonza, kisha sharti uvilambe navyo vigae vyake na kuyakwaruza maziwa yako, kwani mimi nimeyasema; ndivyo asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, utakinywea hata hakitabaki kitu ndani yake, utavitafuna vigae vyake, utayararua maziwa yako; maana mimi, Bwana MUNGU, nimenena neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakikunywa na kukimaliza kabisa; utakipasua vipandevipande kwa meno, na kurarua navyo maziba yako. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.