Ezekiel 23:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamefanya uzinzi na mauaji. Wamefanya ukahaba kwa sanamu zao, hata kuzitambikia watoto walionizalia wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa wamefanya uzinzi na damu imo mikononi mwao. Wamefanya uzinzi na sanamu zao, hata watoto walionizalia wamewatoa kafara, kuwa chakula kwa sanamu hizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wamezini, na damu imo mikononi mwao, nao wamezini na vinyago vyao; tena wana wao walionizalia wamewapitisha katika moto ili waliwe nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamefanya uzinzi na mauaji. Wamefanya ukahaba kwa sanamu zao, hata kuzitambikia watoto walionizalia wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa wamefanya uzinzi na damu imo mikononi mwao. Wamefanya uzinzi na sanamu zao, hata wamewatoa watoto wao walionizalia kuwa kafara, kuwa chakula kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa wamefanya uzinzi na damu imo mikononi mwao. Wamefanya uzinzi na sanamu zao, hata wamewatoa watoto wao walionizalia kuwa kafara, kuwa chakula kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana wamezini, na damu imo mikononi mwao, nao wamezini na vinyago vyao; tena wana wao walionizalia wamewapitisha katika moto ili waliwe nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamefanya uzinzi na mauaji. Wamefanya ukahaba kwa sanamu zao, hata kuzitambikia watoto walionizalia wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wamevunja unyumba, nazo damu zimo mikononi mwao. Unyumba wameuvunja wakiyatamani magogo yao ya kutambikia nao wana wao, walionizalia mimi, wamewapitisha motoni, wayawie vipaji vya tambiko vya kula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wamezini, na damu imo mikononi mwao, nao wamezini na vinyago vyao; tena wana wao walionizalia wamewapitisha katika moto ili waliwe nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)