Ezekiel 23:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena si hayo tu! Wameikufuru maskani yangu na kuzitangua sabato zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wamenifanyia hili: wakati huo huo wamenajisi patakatifu pangu na kuzitangua Sabato zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wamenitenda haya; wamepatia unajisi mahali pangu patakatifu, siku ile ile, nao wamezitangua sabato zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena si hayo tu! Wameikufuru maskani yangu na kuzitangua sabato zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia wamenifanyia hili: wakati huo huo wamenajisi patakatifu pangu na kuzitangua Sabato zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wamenifanyia hili: wakati huo huo wamenajisi patakatifu pangu na kuzitangua Sabato zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wamenitenda haya; wamepatia unajisi mahali pangu patakatifu, siku ile ile, nao wamezitangua sabato zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena si hayo tu! Wameikufuru maskani yangu na kuzitangua sabato zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wamenifanyizia nayo hayo: Siku ileile wamepatia Patakatifu pangu uchafu, wakazitangua siku zangu za mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wamenitenda haya; wamepatia unajisi mahali pangu patakatifu, siku ile ile, nao wamezitangua sabato zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena si hayo tu! Wamekufuru hekalu langu na kuvunja Sabato zangu.