Ezekiel 23:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ileile walipozitambikia sanamu watoto wao wenyewe, waliingia patakatifu ili wapatie unajisi. Hayo ndiyo waliyoyafanya nyumbani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile ile walitoa kafara watoto wao kwa sanamu zao, waliingia patakatifu pangu na kupanajisi. Hilo ndilo walilolifanya katika nyumba yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana walipokuwa wamekwisha kuvichinjia vinyago vyao watoto wao, ndipo walipoingia patakatifu pangu, siku ile ile, wapatie unajisi, na tazama, wamefanya hivyo kati ya nyumba yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ileile walipozitambikia sanamu watoto wao wenyewe, waliingia patakatifu ili wapatie unajisi. Hayo ndiyo waliyoyafanya nyumbani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile ile walitoa watoto wao kuwa kafara kwa sanamu zao, waliingia patakatifu pangu na kupatia unajisi. Hilo ndilo walilolifanya katika nyumba yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile ile walitoa watoto wao kuwa kafara kwa sanamu zao, waliingia patakatifu pangu na kupatia unajisi. Hilo ndilo walilolifanya katika nyumba yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana walipokuwa wamekwisha kuvichinjia vinyago vyao watoto wao, ndipo walipoingia patakatifu pangu, siku ile ile, wapatie unajisi, na tazama, wamefanya hivyo katika nyumba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ileile walipozitambikia sanamu watoto wao wenyewe, waliingia patakatifu ili wapatie unajisi. Hayo ndiyo waliyoyafanya nyumbani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipowachinja wana wao kuwa ng'ombe za tambiko za yale magogo yao, siku ileile wakapaingia Patakatifu pangu, wapatie uchafu. Tazama, hivyo ndivyo, walivyofanya Nyumbani mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana walipokuwa wamekwisha kuvichinjia vinyago vyao watoto wao, ndipo walipoingia patakatifu pangu, siku ile ile, wapatie unajisi, na tazama, wamefanya hivyo kati ya nyumba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ileile walipozitambikia watoto wao wenyewe kwa sanamu, waliingia Pahali Patakatifu pangu kusudi wapachafue. Hayo ndiyo waliyofanya katika nyumba yangu.