Ezekiel 23:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo nikasema: Wanazini na mwanamke aliyechakaa kwa uzinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikasema kuhusu yule aliyechakazwa na uzinzi, ‘Basi wamtumie kama kahaba, kwa kuwa ndivyo alivyo.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikasema, Huyo aliye mkongwe atafanya uzinzi! Sasa hao watazini naye, naam, na yeye!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo nikasema: Wanazini na mwanamke aliyechakaa kwa uzinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikasema kuhusu yule aliyechakazwa na uzinzi, ‘Basi wamtumie kama kahaba, kwa kuwa ndivyo alivyo.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikasema kuhusu yule aliyechakazwa na uzinzi, ‘Basi wamtumie kama kahaba, kwa kuwa ndivyo alivyo.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikasema, Huyo aliye mkongwe atafanya uzinzi! Sasa hao watazini naye, naam, na yeye!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo nikasema: Wanazini na mwanamke aliyechakaa kwa uzinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: Hivyo, alivyochakaa kwa kuvunja unyumba, hata sasa ataufanya ugoni wake. Naye akaufanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikasema, Huyo aliye mkongwe atafanya uzinzi! Sasa hao watazini naye, naam, na yeye!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nikasema: Wanazini na mwanamuke aliyechakaa kwa uzinzi.