Ezekiel 23:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja alimwendea kama wanaume wamwendeavyo malaya. Ndivyo walivyowaendea Ohola na Oholiba wale wanawake waasherati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wakazini naye. Kama vile watu wazinivyo na kahaba, ndiyo hivyo walivyozini na hao wanawake waasherati, Ohola na Oholiba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwingilia kama watu wamwingiliavyo kahaba; ndivyo walivyowaingilia Ohola na Oholiba, wanawake wale waasherati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja alimwendea kama wanaume wamwendeavyo malaya. Ndivyo walivyowaendea Ohola na Oholiba wale wanawake waasherati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakazini naye. Kama vile watu wazinivyo na kahaba, ndiyo hivyo walivyozini na hao wanawake waasherati, Ohola na Oholiba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wakazini naye. Kama vile watu wazinivyo na kahaba, ndiyo hivyo walivyozini na hao wanawake waasherati, Ohola na Oholiba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwingilia kama watu wamwingiliavyo kahaba; ndivyo walivyowaingilia Ohola na Oholiba, wanawake wale waasherati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja alimwendea kama wanaume wamwendeavyo malaya. Ndivyo walivyowaendea Ohola na Oholiba wale wanawake waasherati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakaja nyumbani mwake, kama wanavyoingia mwake mwanamke mgoni; hivyo ndivyo walivyoingia mwake Ohola namo mwake Oholiba, kwa kuwa wanawake wenye uzinzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwingilia kama watu wamwingiliavyo kahaba; ndivyo walivyowaingilia Ohola na Oholiba, wanawake wale waasherati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja alimwendea kama wanaume wanavyomwendea kahaba. Ndivyo walivyowaendea Ohola na Oholiba wale wanawake waasherati.