Ezekiel 23:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Genge la watu litaletwa, litawatisha na kuwapora mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Leteni watu wengi wenye makelele dhidi yao na uwaache wapate hofu na watekwe nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitaleta kusanyiko la watu juu yao, nami nitawatoa warushwe huko na huko, na kutekwa nyara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Genge la watu litaletwa, litawatisha na kuwapora mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo, Leteni watu wengi wenye makelele dhidi yao na uwaache wapate hofu na watekwe nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo, Leteni watu wengi wenye makelele dhidi yao na uwaache wapate hofu na watekwe nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitaleta kusanyiko la watu juu yao, nami nitawatoa warushwe huku na huko, na kutekwa nyara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Genge la watu litaletwa, litawatisha na kuwapora mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Wakusanyie mkutano mkubwa uwatoe, watupwe huko na huko, kisha wanyang'anywe mali zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitaleta kusanyiko la watu juu yao, nami nitawatoa warushwe huko na huko, na kutekwa nyara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Kundi la watu litaletwa, litawatisha na kuwanyanganya mali zao.