Ezekiel 23:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Genge hilo la watu litawapiga mawe, litawashambulia kwa upanga na kuwaua wana wao na binti zao, na nyumba zao wataziteketeza kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao watu wengi watawapiga kwa mawe na kuwaua kwa panga zao, watawaua wana wao wa kiume na wa kike, na kuzichoma nyumba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Genge hilo la watu litawapiga mawe, litawashambulia kwa upanga na kuwaua wana wao na binti zao, na nyumba zao wataziteketeza kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hao watu wengi watawapiga kwa mawe na kuwaua kwa panga zao, watawaua wana wao na binti zao na kuzichoma nyumba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hao watu wengi watawapiga kwa mawe na kuwaua kwa panga zao, watawaua wana wao na binti zao na kuzichoma nyumba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Genge hilo la watu litawapiga mawe, litawashambulia kwa upanga na kuwaua wana wao na binti zao, na nyumba zao wataziteketeza kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wa huo mkutano wawapige mawe, halafu wawakatekatekwa panga zao! Nao wana wao wa kiume na wa kike wawaue! Tena nyumba zao waziteketeze kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi hilo la watu litawapiga mawe, litawashambulia kwa upanga na kuwaua wana wao na wabinti zao, na nyumba zao wataziteketeza kwa moto.