Ezekiel 23:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo nitakavyokomesha uasherati wao katika nchi nzima, liwe onyo kwa wanawake wote wasifanye uzinzi kama huo mlioufanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi, ili wanawake wote wapate onyo nao wasije wakafanya uasherati kama ninyi mlivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye mambo ya uasherati wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo nitakavyokomesha uasherati wao katika nchi nzima, liwe onyo kwa wanawake wote wasifanye uzinzi kama huo mlioufanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi, ili wanawake wote wapate onyo nao wasije wakafanya uasherati kama ninyi mlivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi, ili wanawake wote wapate onyo nao wasije wakafanya uasherati kama ninyi mlivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye uasherati kama mlivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo nitakavyokomesha uasherati wao katika nchi nzima, liwe onyo kwa wanawake wote wasifanye uzinzi kama huo mlioufanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, nitakavyoukomesha uzinzi, uishe katika nchi hii, wanawake wote waonyeke, wasifanye uzinzi kama wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye mambo ya uasherati wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo nitakavyokomesha uasherati wao katika inchi nzima, ikuwe onyo kwa wanawake wote wasifanye uzinzi kama huo mulioufanya.