Ezekiel 23:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ohola alifanya mambo ya kikahaba alipokuwa wangu; naye alipenda mno wapenzi wake, Waashuri, jirani zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Ohola alifanya mambo ya kikahaba alipokuwa wangu; naye alipenda mno wapenzi wake, Waashuri, jirani zake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ohola akafanya ugoni alipokuwa ni wangu, akawatamani wapenzi wake Waasuri waliomkaribia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Ohola alifanya mambo ya kikahaba alipokuwa wangu; naye alipenda mno wapenzi wake, Waashuri, jirani zake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa Ohola alikuwa muke wangu, lakini aliendelea kuwa muzinzi na kuwatamani wapenzi wake Waasuria.