Ezekiel 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliovaa nguo za buluu, watawala na majemadari, wote walikuwa wanaume vijana wa kuvutia, wapandao farasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
waliovikwa samawi, maliwali na mawaziri, wote vijana wa kutamanika, wapanda farasi wakipanda farasi zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliovaa nguo za buluu, watawala na majemadari, wote walikuwa wanaume vijana wa kuvutia, wapandao farasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliovaa nguo za buluu, watawala na majemadari, wote walikuwa wanaume vijana wa kuvutia, wapandao farasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
waliovikwa mavazi ya samawati, watawala na mawaziri, wote vijana wa kutamanika, wapanda farasi wakipanda farasi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamevaa nguo za kifalme za rangi nyeusi; nao walikuwa watawala nchi na wakuu, wote walikuwa vijana wa kutamaniwa kwa kupendeza, wakaja wakichukuliwa na farasi, hao farasi ndio waliopandwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
waliovikwa samawi, maliwali na mawaziri, wote vijana wa kutamanika, wapanda farasi wakipanda farasi zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati yao kulikuwa waaskari, wenye kuvaa nguo za bei kali za rangi nyekundu-nyeusi, kulikuwa vilevile maliwali na waamuzi. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na waaskari wapanda-farasi hodari.