Ezekiel 23:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ohola alifanya zinaa na hao maofisa wote wa vyeo vya juu wa Ashuru naye akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mwanamume wake aliyemtamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya ukahaba na wakuu wote wa Ashuru, na kujinajisi kwa sanamu zote za kila mwanaume aliyemtamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawagawia mambo yake ya kikahaba, watu wateule wa Ashuru, wote pia; akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mmoja wa hao aliowapenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ohola alifanya zinaa na hao maofisa wote wa vyeo vya juu wa Ashuru naye akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mwanamume wake aliyemtamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya ukahaba na wasomi wote wa Kiashuru na kujinajisi kwa sanamu zote za kila mwanaume aliyemtamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya ukahaba na wasomi wote wa Ashuru, na kujinajisi kwa sanamu zote za kila mwanaume aliyemtamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawagawia mambo yake ya kikahaba, watu wateule wa Ashuru, wote pia; akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mmoja wa hao aliowapenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ohola alifanya zinaa na hao maofisa wote wa vyeo vya juu wa Ashuru naye akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mwanamume wake aliyemtamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ndio, aliojitolea kwa ugoni wake, kwani wote walikuwa vijana wateule wa wana wa Asuri, kwao wote, aliowatamani, akajipatia uchafu na kuyatumikia magogo yao ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawagawia mambo yake ya kikahaba, watu wateule wa Ashuru, wote pia; akajitia unajisi kwa vinyago vyote vya kila mmoja wa hao aliowapenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ohola alifanya uasherati na wale wakubwa wote wenye vyeo vya juu wa Waasuria, naye akajichafua kwa kuabudu sanamu zote kila mwanaume wake aliyetamani.