Ezekiel 24:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo siku ya kumi, mwezi wa kumi, mwaka wa tisa tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa tisa, mwezi wa kumi, siku ya kumi, neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, katika mwaka wa kenda, mwezi wa kumi, siku ya kumi ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo siku ya kumi, mwezi wa kumi, mwaka wa tisa tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa tisa, mwezi wa kumi, siku ya kumi, neno la BWANA likanijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa tisa, mwezi wa kumi, siku ya kumi, neno la bwana likanijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, katika mwaka wa tisa, mwezi wa kumi, siku ya kumi ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo siku ya kumi, mwezi wa kumi, mwaka wa tisa tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likanijia katika mwaka wa 9 katika mwezi wa kumi siku yake ya kumi kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, katika mwaka wa kenda, mwezi wa kumi, siku ya kumi ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku kumi, ya mwezi wa kumi, kwa mwaka wa kenda tangu kuhamishwa kwetu, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: