Ezekiel 24:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaleta magogo ya kuni na kuwasha moto. Nitachemsha nyama vizuri sana. Nitachemsha na kukausha mchuzi, na mifupa nitaiunguza!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo lundika kuni na uwashe moto. Pika hiyo nyama vizuri, changanya vikolezo ndani yake, na uiache mifupa iungue kwenye moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tia kuni nyingi, uchochee moto, itokose nyama sana, fanyiza mchuzi mzito, mifupa ikateketee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaleta magogo ya kuni na kuwasha moto. Nitachemsha nyama vizuri sana. Nitachemsha na kukausha mchuzi, na mifupa nitaiunguza!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo lundika kuni na uwashe moto. Pika hiyo nyama vizuri, changanya viungo ndani yake, na uiache mifupa iungue kwenye moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo lundika kuni na uwashe moto. Pika hiyo nyama vizuri, changanya viungo ndani yake, na uiache mifupa iungue kwenye moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tia kuni nyingi, uchochee moto, itokose nyama sana, fanyiza mchuzi mzito, mifupa ikateketee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaleta magogo ya kuni na kuwasha moto. Nitachemsha nyama vizuri sana. Nitachemsha na kukausha mchuzi, na mifupa nitaiunguza!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lete kuni nyingi, uwashe moto! Zitokose nyama kabisa na kuziunga kwa viungo! Mifupa na iungue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tia kuni nyingi, uchochee moto, itokose nyama sana, fanyiza mchuzi mzito, mifupa ikateketee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kusanya vipande vya kuni na kuwasha moto. Tokotesha nyama vizuri sana. Tokotesha na kukausha muchuzi, na mifupa ipate kuungua!