Ezekiel 24:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hicho chungu kitupu nitakiweka juu ya makaa kipate moto sana, shaba yake ipate moto, uchafu wake uyeyushwe na kutu iunguzwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha teleka sufuria tupu kwenye makaa hadi iwe na moto sana na shaba yake ing’ae, ili uchafu wake upate kuyeyuka na ukoko wake upate kuungua na kuondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha litie juu ya makaa yake, tupu, lipate moto, na shaba yake iteketee, uchafu wake uyeyushwe, na kutu yake iteketee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hicho chungu kitupu nitakiweka juu ya makaa kipate moto sana, shaba yake ipate moto, uchafu wake uyeyushwe na kutu iunguzwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha teleka sufuria tupu kwenye makaa mpaka iwe na moto sana na shaba yake ing'ae, ili uchafu wake upate kuyeyuka na ukoko wake upate kuungua na kuondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha teleka sufuria tupu kwenye makaa mpaka iwe na moto sana na shaba yake ing’ae, ili uchafu wake upate kuyeyuka na ukoko wake upate kuungua na kuondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha litie juu ya makaa yake, tupu, lipate moto, na shaba yake iteketee, uchafu wake uyeyushwe, na kutu yake iteketee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hicho chungu kitupu nitakiweka juu ya makaa kipate moto sana, shaba yake ipate moto, uchafu wake uyeyushwe na kutu iunguzwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyungu ikiwa tupu, iweke penye makaa yake ya moto, chuma chake kipate moto kabisa, mpaka kiungue, taka zake zilizomo ziyeyuke, kutu nayo iondoke kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha litie juu ya makaa yake, tupu, lipate moto, na shaba yake iteketee, uchafu wake uyeyushwe, na kutu yake iteketee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Weka chungu kitupu juu ya makaa kipate moto sana, shaba yake ipate moto, uchafu wake uyeyushwe na kutu iunguzwe.