Ezekiel 24:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, asubuhi nilizungumza na watu, na jioni mke wangu akafariki. Na kesho yake asubuhi, nilifanya kama nilivyoamriwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo nikanena na watu asubuhi na jioni mke wangu akafa. Kesho yake asubuhi nilifanya kama nilivyoamriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nalisema na watu asubuhi, na jioni mke wangu akafa; nami nalifanya asubuhi kama nilivyoagizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, asubuhi nilizungumza na watu, na jioni mke wangu akafariki. Na kesho yake asubuhi, nilifanya kama nilivyoamriwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nikanena na watu asubuhi na jioni mke wangu akafa. Asubuhi yake nilifanya kama nilivyoamuriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nikanena na watu asubuhi na jioni mke wangu akafa. Asubuhi yake nilifanya kama nilivyoamriwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nilisema na watu asubuhi, na jioni mke wangu akafa; nami kesho yake asubuhi nilifanya kama nilivyoagizwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, asubuhi nilizungumza na watu, na jioni mke wangu akafariki. Na kesho yake asubuhi, nilifanya kama nilivyoamriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi nilikuwa nikisema na watu, tena jioni mke wangu akafa, kesho yake asubuhi nikafanya nilivyoagizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nalisema na watu asubuhi, na jioni mke wangu akafa; nami nalifanya asubuhi kama nilivyoagizwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, asubui nilisema na watu, na magaribi muke wangu akakufa. Na kesho yake asubui, nilifanya kama nilivyoamuriwa.