Ezekiel 24:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikawajibu, “Mwenyezi-Mungu aliniagiza
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nikawaambia, “Neno la Mwenyezi Mungu lilinijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawaambia, Neno la Bwana lilinijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikawajibu, “Mwenyezi-Mungu aliniagiza
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nikawaambia, “Neno la BWANA lilinijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nikawaambia, “Neno la bwana lilinijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawaambia, Neno la BWANA lilinijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikawajibu, “Mwenyezi-Mungu aliniagiza
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaambia: Neno la Bwana limenijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawaambia, Neno la BWANA lilinijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikawajibu: Neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: