Ezekiel 24:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, mtu atakayeokoka atakuja kukupasha habari hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
siku hiyo atakayetoroka atakuja kuwapasha habari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba katika siku iyo hiyo yeye atakayeokoka atakuja kwako, akusikize jambo hili kwa masikio yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, mtu atakayeokoka atakuja kukupasha habari hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
siku hiyo atakayetoroka atakuja kuwapasha habari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
siku hiyo atakayetoroka atakuja kuwapasha habari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba katika siku hiyo hiyo yeye atakayeokoka atakuja kwako, akusikizishe jambo hili kwa masikio yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, mtu atakayeokoka atakuja kukupasha habari hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
siku ile atakuja kwako mtu aliyekimbia, ayasimulie masikioni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba katika siku iyo hiyo yeye atakayeokoka atakuja kwako, akusikize jambo hili kwa masikio yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, mutu atakayeponyoka atakuja kukupasha habari hizo.