Ezekiel 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenea nyumba hii ya uasi kwa fumbo, uwaambie: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke na umimine maji ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukawatungie mithali nyumba ya kuasi, ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Teleka sufuria, liteleke; ukatie maji ndani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iambie nyumba hii ya kuasi fumbo, na uwaambie, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke na umimine maji ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iambie nyumba hii ya kuasi fumbo, na uwaambie, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke na umimine maji ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukawatungie mithali nyumba ya kuasi, ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Teleka sufuria, liteleke; ukatie maji ndani yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mlango huu mkatavu uutungie fumbo ukiwaambia: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Iteleke nyungu! Ndiyo, iteleke! Kisha itie nayo maji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukawatungie mithali nyumba ya kuasi, ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Teleka sufuria, liteleke; ukatie maji ndani yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwape mufano hao watu wangu waasi na kuwaambia kwamba: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Weka chungu juu ya mafika, ukijaze maji vilevile.