Ezekiel 24:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tia humo vipande vya nyama, vipande vizuri vya mapaja na mabega. Kijaze pia mifupa mizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka vipande vya nyama ndani yake, vipande vyote vizuri, vya paja na vya bega. Ijaze hiyo sufuria kwa mifupa hii mizuri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vikusanye vipande vyake ndani yake, naam, kila kipande chema, paja na bega; lijaze mifupa iliyochaguliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tia humo vipande vya nyama, vipande vizuri vya mapaja na mabega. Kijaze pia mifupa mizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka vipande vya nyama ndani yake, vipande vyote vizuri, vya paja na vya bega. Ijaze hiyo sufuria kwa mifupa hii mizuri;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka vipande vya nyama ndani yake, vipande vyote vizuri, vya paja na vya bega. Ijaze hiyo sufuria kwa mifupa hii mizuri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vikusanye vipande vyake ndani yake, naam, kila kipande chema, paja na bega; lijaze mifupa iliyochaguliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tia humo vipande vya nyama, vipande vizuri vya mapaja na mabega. Kijaze pia mifupa mizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena vikusanye vipande vyake vya kutia ndani, vyote viwe vipande vizuri tu vya paja na vya mkono, ijaze mifupa iliyochaguliwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vikusanye vipande vyake ndani yake, naam, kila kipande chema, paja na bega; lijaze mifupa iliyochaguliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tia humo vipande vya nyama, vipande vizuri vya paja na mabega. Ukijaze vilevile mifupa mizuri.