Ezekiel 24:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumia nyama nzuri ya kondoo, panga kuni chini ya chungu, chemsha vipande vya nyama na mifupa, vyote uvichemshe vizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
chagua yule aliye bora wa kundi la kondoo. Panga kuni chini ya sufuria kwa ajili ya mifupa; chochea hadi ichemke na uitokose hiyo mifupa ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwatwae wateule wa kundi la kondoo, ukafanye chungu ya mifupa chini yake; ukalitokose sana; naam, mifupa yake itokoswe ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumia nyama nzuri ya kondoo, panga kuni chini ya chungu, chemsha vipande vya nyama na mifupa, vyote uvichemshe vizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
chagua yule aliye bora wa kundi la kondoo. Panga kuni chini ya sufuria kwa ajili ya mifupa; chochea mpaka ichemke na uitokose hiyo mifupa ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
chagua yule aliye bora wa kundi la kondoo. Panga kuni chini ya sufuria kwa ajili ya mifupa; chochea mpaka ichemke na uitokose hiyo mifupa ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwatwae wateule wa kundi la kondoo, ukafanye chungu ya mifupa chini yake; ukalitokose sana; naam, mifupa yake itokoswe ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumia nyama nzuri ya kondoo, panga kuni chini ya chungu, chemsha vipande vya nyama na mifupa, vyote uvichemshe vizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chukua kondoo tu waliochaguliwa kwa uzuri! Tena chini yake hiyo nyungu patupie mifupa, iwe chungu! Zitokose kabisa nyama, nayo mifupa iliyomo sharti ichemke sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwatwae wateule wa kundi la kondoo, ukafanye chungu ya mifupa chini yake; ukalitokose sana; naam, mifupa yake itokoswe ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumia nyama nzuri ya kondoo, panga kuni chini ya chungu, tokotesha vipande vya nyama na mifupa, vyote uvitokoteshe vizuri.