Ezekiel 24:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mauaji yamo humo mjini; damu yenyewe haikumwagwa udongoni ifunikwe na vumbi, ila ilimwagwa mwambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: Huyo mwanamke aliimwaga juu ya mwamba ulio wazi; hakuimwaga kwenye ardhi, ambako vumbi lingeifunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana damu yake imo ndani yake; aliiweka juu ya jabali lililo wazi; hakuimwaga juu ya nchi, apate kuifunika kwa mavumbi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mauaji yamo humo mjini; damu yenyewe haikumwagwa udongoni ifunikwe na vumbi, ila ilimwagwa mwambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: huyo mwanamke aliimwaga juu ya mwamba ulio wazi; hakuimwaga kwenye ardhi, ambako vumbi lingeifunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: huyo mwanamke aliimwaga juu ya mwamba ulio wazi; hakuimwaga kwenye ardhi, ambako vumbi lingeifunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana damu yake imo ndani yake; aliiweka juu ya jabali lililo wazi; hakuimwaga juu ya nchi, apate kuifunika kwa mavumbi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mauaji yamo humo mjini; damu yenyewe haikumwagwa udongoni ifunikwe na vumbi, ila ilimwagwa mwambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani damu zilizomwagwa mwake zimo bado, ni hapohapo penye mwamba ulio wazi, alipozimiminia, hakuzimwaga penye mchanga, zikafunikwa kwa mavumbi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana damu yake imo ndani yake; aliiweka juu ya jabali lililo wazi; hakuimwaga juu ya nchi, apate kuifunika kwa mavumbi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mauaji yako humo katika muji; damu yenyewe haikumwangwa juu ya udongo kusudi ifunikwe na mavumbi, lakini ilimwangwa juu ya jiwe.