Ezekiel 24:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Damu hiyo nimeiacha huko mwambani ili isifunikwe, nipate kuamsha ghadhabu yangu na kulipiza kisasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuchochea ghadhabu na kulipiza kisasi, nimemwaga damu yake juu ya mwamba ulio wazi, ili isifunikwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili ipandishe ghadhabu ya kulipa kisasi, nimeiweka damu yake juu ya jabali lililo wazi, isipate kufunikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Damu hiyo nimeiacha huko mwambani ili isifunikwe, nipate kuamsha ghadhabu yangu na kulipiza kisasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuchochea ghadhabu na kulipiza kisasi, nimemwaga damu yake juu ya mwamba ulio wazi, ili isifunikwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuchochea ghadhabu na kulipiza kisasi, nimemwaga damu yake juu ya mwamba ulio wazi, ili isifunikwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili ipandishe ghadhabu ya kulipa kisasi, nimeiweka damu yake juu ya jabali lililo wazi, isipate kufunikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Damu hiyo nimeiacha huko mwambani ili isifunikwe, nipate kuamsha ghadhabu yangu na kulipiza kisasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kusudi ziyainue makali yangu yenye moto ya kulipiza lipizi, kwa hiyo nimeacha, azimiminie hizo damu penye mwamba ulio wai, zisifunikwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili ipandishe ghadhabu ya kulipa kisasi, nimeiweka damu yake juu ya jabali lililo wazi, isipate kufunikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Damu hiyo nimeiacha huko juu ya jiwe kusudi isifunikwe, nipate kuamusha kasirani yangu na kulipiza kisasi.