Ezekiel 25:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaitia nchi hiyo pamoja na nchi ya Amoni mikononi mwa watu wa mashariki iwe mali yao. Nchi ya Moabu haitakuwa taifa tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaitia Moabu pamoja na Waamoni mikononi mwa watu wa Mashariki kuwa milki yao, ili Waamoni wasikumbukwe miongoni mwa mataifa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pamoja na wana wa Amoni, nami nitawatoa kuwa milki, ili wana wa Amoni wasikumbukwe kati ya mataifa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaitia nchi hiyo pamoja na nchi ya Amoni mikononi mwa watu wa mashariki iwe mali yao. Nchi ya Moabu haitakuwa taifa tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaitia Moabu pamoja na Waamoni mikononi mwa watu wa Mashariki kuwa milki yao, ili kwamba Waamoni wasikumbukwe miongoni mwa mataifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaitia Moabu pamoja na Waamoni mikononi mwa watu wa Mashariki kuwa milki yao, ili kwamba Waamoni wasikumbukwe miongoni mwa mataifa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
pamoja na wana wa Amoni, nami nitawatoa kuwa milki, ili wana wa Amoni wasikumbukwe kati ya mataifa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaitia nchi hiyo pamoja na nchi ya Amoni mikononi mwa watu wa mashariki iwe mali yao. Nchi ya Moabu haitakuwa taifa tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi yao nitaitoa nayo yao wana wa Amoni, niwape watokao maawioni kwa jua, iwe yao, kusudi wana wa Amoni wasikumbukwe tena kwenye mataifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
pamoja na wana wa Amoni, nami nitawatoa kuwa milki, ili wana wa Amoni wasikumbukwe kati ya mataifa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatoa inchi hiyo pamoja na inchi ya Waamoni katika mikono ya watu wa mashariki wakuwe mali yao. Inchi ya Moabu haitakuwa taifa tena.