Ezekiel 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani yangu ikitiwa unajisi, nchi ya Israeli ikiangamizwa na watu wa Yuda wakipelekwa uhamishoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie, ‘Sikieni neno la Bwana Mungu Mwenyezi. Hili ndilo Bwana Mungu Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi, na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa, na juu ya watu wa Yuda walipoenda uhamishoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaambie hao wana wa Amoni, Lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu umesema, Aha! Juu ya patakatifu pangu, palipotiwa unajisi; na juu ya nchi ya Israeli, ilipoharibiwa; na juu ya nyumba ya Israeli, walipokwenda kifungoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani yangu ikitiwa unajisi, nchi ya Israeli ikiangamizwa na watu wa Yuda wakipelekwa uhamishoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie, ‘Sikieni neno la BWANA Mwenyezi. Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” Juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa na juu ya watu wa Yuda walipokwenda uhamishoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie, ‘Sikieni neno la bwana Mwenyezi. Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi, na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa, na juu ya watu wa Yuda walipokwenda uhamishoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaambie hao wana wa Amoni, Lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu umesema, Aha! Juu ya patakatifu pangu, palipotiwa unajisi; na juu ya nchi ya Israeli, ilipoharibiwa; na juu ya nyumba ya Israeli, walipokwenda kifungoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani yangu ikitiwa unajisi, nchi ya Israeli ikiangamizwa na watu wa Yuda wakipelekwa uhamishoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Amoni: Lisikieni neno la Bwana Mungu! Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Kwa kuwa ulipazomea Patakatifu pangu, palipotiwa uchafu, kwa kuwa uliizomea nayo nchi ya Isiraeli, ilipoangamizwa, ukawagutia nao walio mlango wa Yuda, walipotekwa na kuhamishwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaambie hao wana wa Amoni, Lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu umesema, Aha! Juu ya patakatifu pangu, palipotiwa unajisi; na juu ya nchi ya Israeli, ilipoharibiwa; na juu ya nyumba ya Israeli, walipokwenda kifungoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waamoni hivi: Musikilize neno la Bwana wetu Yawe: Ninyi mulifurahia kuona hekalu langu likichafuliwa, inchi ya Waisraeli ikiangamizwa na watu wa Yuda wakipelekwa katika uhamisho.